Msaada chimbo la vitambaa vya sofa

Msaada chimbo la vitambaa vya sofa

Unaomba Kujulishwa Wanapouza
Wewe Upo Wapi Huenda Upo Mkendo Musoma
Ama Mweka Halafu Ukatajiwa Vitambaa Vinapatikana Geita
 
Unaomba Kujulishwa Wanapouza
Wewe Upo Wapi Huenda Upo Mkendo Musoma
Ama Mweka Halafu Ukatajiwa Vitambaa Vinapatikana

Unaomba Kujulishwa Wanapouza
Wewe Upo Wapi Huenda Upo Mkendo Musoma
Ama Mweka Halafu Ukatajiwa Vitambaa Vinapatikana Geita
Nipo Daresalaam, kwa sasa nachukua duka la Woisso, napenda kujua chimbo la jumla nipate nafuu zaidi,
 
kuna mtaa ukiwa haujafika mtaa wanapouza pazia na bomba za pazia, (Sijui unaitwaje) wanauza vigodoro vya kutengenezea sofa na maduka ya vitambaa vya sofa yanapatikana mtaa huo.
 
Back
Top Bottom