Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaomba Kujulishwa Wanapouza
Wewe Upo Wapi Huenda Upo Mkendo Musoma
Ama Mweka Halafu Ukatajiwa Vitambaa Vinapatikana
Nipo Daresalaam, kwa sasa nachukua duka la Woisso, napenda kujua chimbo la jumla nipate nafuu zaidi,Unaomba Kujulishwa Wanapouza
Wewe Upo Wapi Huenda Upo Mkendo Musoma
Ama Mweka Halafu Ukatajiwa Vitambaa Vinapatikana Geita
Naomba kujua duka lenye unafuu mkuuNenda kariakoo kipata na Kongo
😂😂😂😂🥱kuna mtaa ukiwa haujafika mtaa wanapouza pazia na bomba za pazia, (Sijui unaitwaje) wanauza vigodoro vya kutengenezea sofa na maduka ya vitambaa vya sofa yanapatikana mtaa huo.
😁😁😁, halafu nilisahau kukutag gwiji.😂😂😂😂🥱
Leo nilkuwa hapo, watu wa jamii forums wananitafuta late sana. Although kwa namna ulivyoelekeza mtu lazima apotee😁😁😁, halafu nilisahau kukutag gwiji.
Mie K/koo mitaa kwa majina utanipoteza😁.