Msaada chimbo la vitambaa vya sofa

Unaomba Kujulishwa Wanapouza
Wewe Upo Wapi Huenda Upo Mkendo Musoma
Ama Mweka Halafu Ukatajiwa Vitambaa Vinapatikana Geita
 
Unaomba Kujulishwa Wanapouza
Wewe Upo Wapi Huenda Upo Mkendo Musoma
Ama Mweka Halafu Ukatajiwa Vitambaa Vinapatikana

Unaomba Kujulishwa Wanapouza
Wewe Upo Wapi Huenda Upo Mkendo Musoma
Ama Mweka Halafu Ukatajiwa Vitambaa Vinapatikana Geita
Nipo Daresalaam, kwa sasa nachukua duka la Woisso, napenda kujua chimbo la jumla nipate nafuu zaidi,
 
kuna mtaa ukiwa haujafika mtaa wanapouza pazia na bomba za pazia, (Sijui unaitwaje) wanauza vigodoro vya kutengenezea sofa na maduka ya vitambaa vya sofa yanapatikana mtaa huo.
 
kuna mtaa ukiwa haujafika mtaa wanapouza pazia na bomba za pazia, (Sijui unaitwaje) wanauza vigodoro vya kutengenezea sofa na maduka ya vitambaa vya sofa yanapatikana mtaa huo.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ₯±
 
😁😁😁, halafu nilisahau kukutag gwiji.
Mie K/koo mitaa kwa majina utanipoteza😁.
Leo nilkuwa hapo, watu wa jamii forums wananitafuta late sana. Although kwa namna ulivyoelekeza mtu lazima apotee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…