Jben Member Joined Jul 22, 2013 Posts 70 Reaction score 1 Aug 27, 2013 #1 Naomba kujuwa kama wametoa majina kwa waliochaguliwa kujiunga na chuo hiki
double click JF-Expert Member Joined Oct 12, 2012 Posts 569 Reaction score 949 Aug 28, 2013 #2 tayar wametoa
Landcruiser JF-Expert Member Joined May 27, 2013 Posts 1,805 Reaction score 599 Aug 28, 2013 #3 Jben said: Naomba kujuwa kama wametoa majina kwa waliochaguliwa kujiunga na chuo hiki Click to expand... wametoa tafuta kuna thread jamaa kaweka
Jben said: Naomba kujuwa kama wametoa majina kwa waliochaguliwa kujiunga na chuo hiki Click to expand... wametoa tafuta kuna thread jamaa kaweka
K kingminaz Member Joined Jul 27, 2013 Posts 7 Reaction score 0 Aug 29, 2013 #4 Mie ni miongoni mwa waliochaguliwa ktk chuo cha ilonga kilosa we chakufanya nipigie cm nikupe no ya mkuu wa chuo ili aangalie jinalako kama umechaguliwa, pamoja sana.Jitahidi nipigie cm no yangu ni 0762525467 ili nikupe maelekezo.
Mie ni miongoni mwa waliochaguliwa ktk chuo cha ilonga kilosa we chakufanya nipigie cm nikupe no ya mkuu wa chuo ili aangalie jinalako kama umechaguliwa, pamoja sana.Jitahidi nipigie cm no yangu ni 0762525467 ili nikupe maelekezo.