Msaada chuo cha kilimo mati Ilonga (kilosa)

Msaada chuo cha kilimo mati Ilonga (kilosa)

Jben

Member
Joined
Jul 22, 2013
Posts
70
Reaction score
1
Naomba kujuwa kama wametoa majina kwa waliochaguliwa kujiunga na chuo hiki
 
Mie ni miongoni mwa waliochaguliwa ktk chuo cha ilonga kilosa we chakufanya nipigie cm nikupe no ya mkuu wa chuo ili aangalie jinalako kama umechaguliwa, pamoja sana.Jitahidi nipigie cm no yangu ni 0762525467 ili nikupe maelekezo.
 
Back
Top Bottom