Msaada: Chuo cha muziki/bendi

Msaada: Chuo cha muziki/bendi

bonna

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2011
Posts
855
Reaction score
519
Hi,habari zenu ndugu zangu,
Naomba kwa mwenye ufahamu anisaidie...ninataka kuwa kwenye bendi ya muziki....bendi kama zile za msondo,the spirit ya vitalis maembe..nadhani utakua umepata picha...ila bado sijapata contact zitakazoniwezesha kufikia lengo hili...sasa hivi naweza kupiga gitaa(galaton) na ngoma..Ok...najua kuimba pia hahahaha kidogo lakini.
Au
Naomba mwenye ufahamu na shule/chuo chochote cha muziki dar anijulishe pia...ili nikaanze chuo (nisomee kupiga kinanda)halafu nianzishe bendi kutoka huko najua ntapata members...
Sina lengo la kutafuta umaarufu wala wazo la kupata hela nimegundua tu ..nakua na raha sana nikiwa napiga muziki..napenda muziki sana.
 
Nenda chuo cha sanaa bagamoyo
Sitaweza chief...nafanya kazi dar/ mi ni engineer by professional...sasa kule mbali ila kila ijumaa naendaga kwa ajili ya yale matamasha...sasa ivi nataka na mimi kupiga mziki..
 
Kuna chuo cha muziki sinza kinaitwa New Gen pale karibu na kumekucha kitakusaidia sana kufikia malengo yako.
 
Hi,habari zenu ndugu zangu,
Naomba kwa mwenye ufahamu anisaidie...ninataka kuwa kwenye bendi ya muziki....bendi kama zile za msondo,the spirit ya vitalis maembe..nadhani utakua umepata picha...ila bado sijapata contact zitakazoniwezesha kufikia lengo hili...sasa hivi naweza kupiga gitaa(galaton) na ngoma..Ok...najua kuimba pia hahahaha kidogo lakini.
Au
Naomba mwenye ufahamu na shule/chuo chochote cha muziki dar anijulishe pia...ili nikaanze chuo (nisomee kupiga kinanda)halafu nianzishe bendi kutoka huko najua ntapata members...
Sina lengo la kutafuta umaarufu wala wazo la kupata hela nimegundua tu ..nakua na raha sana nikiwa napiga muziki..napenda muziki sana.

Aliyekuambia Kuwa Uende Bagamoyo Hajakosea Na Hapo Ndiyo Kila Kitu ILA Kwa Mengi Zaidi Ya Kuhusu Muziki Mtafute Mtu Aitwae Roga Roga Yumo Humu Humu JF Kwani Yeye Ndiye Mtunzi Wa Nyimbo Zote Za Kundi La Extra Musica La Congo Brazaville.
 
Back
Top Bottom