haa!! ikichuo nilikiona mwaka jana,crdb tabata branch
nikaanza kufuatilia kumbe mpaka mmiliki wake nilikuwa tunafahamiana naye vizuri tu,hana back ground yoyote ya urubani japo alikuwa anafanya kazi airport miaka iliyopita
elimu yake ni yakuungaunga tu,maana alikuwa staff wa level za chini.niliongea nae nikaona ananiuzia chai tu huyu tapeli
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.