Msaada: Chuo gani naweza soma online?

Msaada: Chuo gani naweza soma online?

Sonko Bibo

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2019
Posts
957
Reaction score
1,493
Wakuu kama heading inavyosomeka,

Elimu haina mwisho zaidi ni vile utakavyoamua kichwani mwako.

Nahitaji mwenye ufahamu mzuri juu ya chuo gani bora, ambapo naweza anza masomo online. Lengo ni kuanza foundation course mpaka nipate PhD ya Computer science. Karibuni tutete jambo hapa.

Sonko Bibo anaongea.
 
Ahsante sana mkuu na vipi kuhusu gharama zao zinatubeba sisi watoto wa wakulima na wafugaji?
Saaaaana. Tafuta hela soma. Unaweza lipia course moja, mpaka zote 18, inategemea na pesa yako. Cha msingi in 8 years uwwe umemaliza. Course moja ni 60,000 tu.
 
Wow hivi kumbe kuna mambo mazuri hivi hapa Tanzania wakuu?
Sorry 8yrs since Foundation to PhD? au mimi ndio sijaelewa hapo.
But I think hiyo ni for BCs.
 
Wakuu kama heading inavyosomeka,

Elimu haina mwisho zaidi ni vile utakavyoamua kichwani mwako.

Nahitaji mwenye ufahamu mzuri juu ya chuo gani bora, ambapo naweza anza masomo online. Lengo ni kuanza foundation course mpaka nipate PhD ya Computer science. Karibuni tutete jambo hapa.

Sonko Bibo anaongea.
Jiunge na CCM upate uongozi; PhD zitakufuata zenyewe! UDOM, UDSM, na MU
 
Ikiwa kama kuna guarantee ya namba kuanzia kumi kurudi hadi mbili basi wanipe kadi tu.
Lakini siachi kusoma Cs maana nataka niwe na PhD ya hiyo kitu tu. Sio za kupachikiana maana ningekuwa nataka hizo ningenunua tu.
 
... sawa.
 
Back
Top Bottom