Msaada: Chuo gani naweza soma online?

Msaada: Chuo gani naweza soma online?

Nimeandika hapo M.B.A

Ok ntachek
Boss ukiandika kwa urefu kuna kitu unakosa?
Wow hivi kumbe kuna mambo mazuri hivi hapa Tanzania wakuu?
Sorry 8yrs since Foundation to PhD? au mimi ndio sijaelewa hapo.
But I think hiyo ni for BCs.
Miaka nane kila level unayosoma uwe umemaliza course work na kufanya mitihani.
Sema wewe unaonekana much know kasome za ulaya.
 
Boss ukiandika kwa urefu kuna kitu unakosa?

Miaka nane kila level unayosoma uwe umemaliza course work na kufanya mitihani.
Sema wewe unaonekana much know kasome za ulaya.
Mwanzo ulikuwa na moyo mwema wa kutusaidia tulio wengi hapa jukwaan. But ghafla pepo mbaya anaanza kukukumba, usiende huko rudi bado tunakuhitaj hapa jukwaani.
 
Unaweza kujisajili kwa masomo ya kidato cha tano kama 'Private candidate', baada ya kukamilisha hiyo 'level' ukaomba chuo kikuu uria n.k na hatimaye ndoto yako kutimia.

Wapo waliofanikiwa kwa kupitia njia hiyo pia.​
Unaona sasa ulivyoitafuta thamani ya X kwenye ID yako? Tisha sana, kazi kwetu sasa wenye elimu zetu za form 4.
Hongera sana mkuu Equation x
 
Mimi niliishia form 2 ila nina ndoto nije kuwa na. PHD nataka nisome kwa njia ya online
Usiseme una ndoto mkuu Wakilimkuu sema hivi Nataka kuhitimu PhD baada ya muda fulani.
Ujue ni kwanini nakuzuia kusema una ndoto? Maana yake ni kwamba sitaki uendelee kuota nataka uanze kuyafanyia kazi malengo yako now now. Ndoto mara nyingi huwa hazitimii watu wanakufa nazo wakiwa bado wanaota.
 
Back
Top Bottom