Sonko Bibo
JF-Expert Member
- May 24, 2019
- 957
- 1,493
- Thread starter
- #21
Wana online hao jamaa kweli? maana nimepita campus zao nilianzia hapo makonde nikamalizia pale HQ na sijui kama wana-support online.
Pia ada zao ni noma, maana ni kama wamekuwa Harvard ya Bongo.