Sonko Bibo
JF-Expert Member
- May 24, 2019
- 957
- 1,493
Cha nchi gani hiki mkuu?Soma skolkovo institute of science and technology.Ni chuo kizuri sana
Ada yao ipoje kwa MBA?Open university of Tanzania
Ndio jibu lako
Ahsante sana mkuu na vipi kuhusu gharama zao zinatubeba sisi watoto wa wakulima na wafugaji?Open university of Tanzania
Ndio jibu lako
Masters ya nn. Kafatilie pia mbona wana handbook kwenye website yaoAda yao ipoje kwa MBA?
Nimeandika hapo M.B.AMasters ya nn. Kafatilie pia mbona wana handbook kwenye website yao
Saaaaana. Tafuta hela soma. Unaweza lipia course moja, mpaka zote 18, inategemea na pesa yako. Cha msingi in 8 years uwwe umemaliza. Course moja ni 60,000 tu.Ahsante sana mkuu na vipi kuhusu gharama zao zinatubeba sisi watoto wa wakulima na wafugaji?
Wow hivi kumbe kuna mambo mazuri hivi hapa Tanzania wakuu?Saaaaana. Tafuta hela soma. Unaweza lipia course moja, mpaka zote 18, inategemea na pesa yako. Cha msingi in 8 years uwwe umemaliza. Course moja ni 60,000 tu.
Urusi Kwa putinCha nchi gani hiki mkuu?
Jiunge na CCM upate uongozi; PhD zitakufuata zenyewe! UDOM, UDSM, na MUWakuu kama heading inavyosomeka,
Elimu haina mwisho zaidi ni vile utakavyoamua kichwani mwako.
Nahitaji mwenye ufahamu mzuri juu ya chuo gani bora, ambapo naweza anza masomo online. Lengo ni kuanza foundation course mpaka nipate PhD ya Computer science. Karibuni tutete jambo hapa.
Sonko Bibo anaongea.
Ikiwa kama kuna guarantee ya namba kuanzia kumi kurudi hadi mbili basi wanipe kadi tu.Jiunge na CCM upate uongozi; PhD zitakufuata zenyewe! UDOM, UDSM, na MU
... sawa.Ikiwa kama kuna guarantee ya namba kuanzia kumi kurudi hadi mbili basi wanipe kadi tu.
Lakini siachi kusoma Cs maana nataka niwe na PhD ya hiyo kitu tu. Sio za kupachikiana maana ningekuwa nataka hizo ningenunua tu.
Kipo wapi hiki??Soma skolkovo institute of science and technology.Ni chuo kizuri sana