Msaada:chuo kinachofundisha Accounting Packages.

zilakina

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2011
Posts
293
Reaction score
77
Wadau naomba msaada wa chuo kizuri kinachofundisha accounting package ie Tally.
 
We upo wapi?kama upo dar,kuna chuo kinaitwa highridge kipo,barabara ya nyerere,ukiwa unatokea kariakoo unakwenda veta,kabla hujafika mataa ya veta,kuna kituo kinaitwa darajani(karibu na makao makuu ya mali asili na utalii)utaona gorofa na chini yake kuna supermarket,utaona bango lao.
 
Asante mkuu mimi nipo dar.
 
Wadau naomba msaada wa chuo kizuri kinachofundisha accounting package ie Tally.

Mwone mtu huyu Sergius. Anafundisha Zoom Polytechnic College Magomeni Usalama. Namba zake hizi hapa: +255715622369 au +255755622369
 
Back
Top Bottom