I Iskanda Senior Member Joined Jun 22, 2011 Posts 100 Reaction score 10 Jun 11, 2015 #1 Jamani yeyote anaejua chuo kinachofundisha wakufunzi wa vyuo vya ualimu(special program) ya miezi 3, naomba anisadie. kipo wapi hiki chuo na taratibu zake zikoje? please mwenye kufahamu hili anijuze.
Jamani yeyote anaejua chuo kinachofundisha wakufunzi wa vyuo vya ualimu(special program) ya miezi 3, naomba anisadie. kipo wapi hiki chuo na taratibu zake zikoje? please mwenye kufahamu hili anijuze.