Msaada, Chuo kinachofundisha wakufunzi wa vyuo vya ualimu

Msaada, Chuo kinachofundisha wakufunzi wa vyuo vya ualimu

Iskanda

Senior Member
Joined
Jun 22, 2011
Posts
100
Reaction score
10
Jamani yeyote anaejua chuo kinachofundisha wakufunzi wa vyuo vya ualimu(special program) ya miezi 3, naomba anisadie. kipo wapi hiki chuo na taratibu zake zikoje?
please mwenye kufahamu hili anijuze.
 
Back
Top Bottom