Msaada;Chuo kipi kizuri ambacho naweza kusoma na nikapata ajira?

Lwakitwe

Senior Member
Joined
Aug 14, 2013
Posts
101
Reaction score
15
Habari za kazi pole na majukumu. Ndugu zangu wa Dar es salaam pole na matatizo yanayoendelea kutupata ya mafuriko Mungu tu atatutetea .Kwanza nianze kwa kuwashirikisha katika hili
Mimi ni kijana mwenye miaka 24. niko Dar es salaam nilimaliza form four 2012 kutokana na matatizo ya kifamilia nikawa nimepata points 28 lakini kwa sasa nimesha jipanga vya kutosha.
Ombi langu yeyote anayejua chuo kizuri ambacho naweza kusoma na nikapata ajila anisaidie kwa sababu najua wengine walimu humu wengine ni wasomi ila walipitia kama mimi naomba ushauri wenu
Waenga wanasema bora ushauri kuliko pesa nitashukru.
 
Matatizo ya kifamilia yamesababishaje wewe kupata pts 28? Badala ya kutumia matatizo kama motivation ya kupata pt 7, wewe umefanya kichaka cha kujifichia? Kalaghabaho
 
Teh teh teh teh teh hivi huyu hajui kuwa kwenye matatizo kujifunza ndo hutokea?
 
acheni ushauri wakumkatisha mwenzenu tamaa,hvi unaelewa mazingira aliyotoka,unajuaje km alikuwa tatizo la ada?shule zenyewe zakata hazina walimu hazina vitabu,acheni hzo km humtaki kumshauri ni bora kupita
 
vijana kwa kuwasingizia wazazi wenu, hamjambo! Ww washukuru tu kwa kukuleta duniani, mengine seti mwenyewe kimtindo! Mambo yataenda tu, na si lazima saaaaana uwaze kusoma chuo. Kuna mengine pia kama ufundi nk!
 
Teh teh teh teh teh hivi huyu hajui kuwa kwenye matatizo kujifunza ndo hutokea?

aise omba mungu watoto wako isiwakute km huyu kijana anayeomba mawazo afu mnacheka,nawakati unaelewa matatizo ya watznia weng n maskni ndo wanaosoma shule zakata
 
asante mkuu kwa sababu wengine maisha mtelemko wanadhani na wenzio ndo hivyo
 
Habari za kazi pole na majukumu. Ndugu zangu wa Dar es salaam pole na matatizo yanayoendelea kutupata ya mafuriko Mungu tu atatutetea .Kwanza nianze kwa kuwashirikisha katika hili
Mimi ni kijana mwenye miaka 24. niko Dar es salaam nilimaliza form four 2012 kutokana na matatizo ya kifamilia nikawa nimepata points 28 lakini kwa sasa nimesha jipanga vya kutosha.
Ombi langu yeyote anayejua chuo kizuri ambacho naweza kusoma na nikapata ajila anisaidie kwa sababu najua wengine walimu humu wengine ni wasomi ila walipitia kama mimi naomba ushauri wenu
Waenga wanasema bora ushauri kuliko pesa nitashukru.

dogo kuna waliopata zero 4m wakarudia pepa leo wamemaliza chuo kikuu wengne wana masta,kaza buti rudia pepa,umri wako bdo unaruhusu.
 
Ila si swala la kukejeli,kama kuna ushauri mna mpa,wabongo bhana wakiulizwa chochote lazima wajibu kinyume chake
 
mkuu asante maana wengine hata Uwezi kuwaelewa
 
sawa bwana aliyeimove hii post Bwana amtie nguvu
 
Usikate tamaa kama ulipiga science tafuta chuo cha maswala ya afya piga au re seat paper tena ujiandikishe mapema japo utapigwa faini kwakuwa umechelewa tareh 31 necta hawataruhusu tena application
 
Matatizo ya kifamilia yamesababishaje wewe kupata pts 28? Badala ya kutumia matatizo kama motivation ya kupata pt 7, wewe umefanya kichaka cha kujifichia? Kalaghabaho

Inawezekana alikuwa akirudishwa nyumbani mara kwa mara kwa kukosa ada! Hapa lazima vipindi vikupite!

Inaelekea umekulia mujini weye!
 
Wachek hawa wahindi ST JOSEPH UNIVERSITY jana kupitaia gazet la mwananchi nimeona wametoa pre entry admission for diploma minimum entry walizoandika ni minimum of 4 passes at CSEE excluding religious subjects and language subject hence english language will be considered. Matriculation exam / entry exam will be on 24th april 2014 at st joseph Dar es salaam. Form zinapatkana chuoni Mbezi Luguruni wahi kachukue form na 20000 yako tu mkononi Maelezo zaidi hukohuko usiniulize mimi haya changamka.
 
wachek hawa wahindi st joseph university jana kupitaia gazet la mwananchi nimeona wametoa pre entry admission for diploma minimum entry walizoandika ni minimum of 4 passes at csee excluding religious subjects and language subject hence english language will be considered. Matriculation exam / entry exam will be on 24th april 2014 at st joseph dar es salaam. Form zinapatkana chuoni mbezi luguruni wahi kachukue form na 20000 yako tu mkononi maelezo zaidi hukohuko usiniulize mimi haya changamka.

kama umejipanga na unauwezo kidogo kulipa chuo basi nenda st joseph.kama uwezo wa kifedha si mzuri na umejipanga kupigana basi rudia mtiani mwakani,sahizi fanya short course za computer au kitu kingine.au ikiwezekana risiti anza kusoma mwaka huuu alafu mwakani ufanye pepa uwe na uakika wa kwenda advance ndugu. Kuna ma profesa kibao wameungaunga ndugu.usikate tamaa mwiko
 
We hujasema unataka kusomea ki2 gan, ivyo tafuta preference yako then ndo urudi hapa ila ajira za uhakika ni JESHI[magereza, police, uhamiaji na tanapa] 2 afya, kilimo na elimu
 
Habari za kazi pole na majukumu. Ndugu zangu wa Dar es salaam pole na matatizo yanayoendelea kutupata ya mafuriko Mungu tu atatutetea .Kwanza nianze kwa kuwashirikisha katika hili
Mimi ni kijana mwenye miaka 24. niko Dar es salaam nilimaliza form four 2012 kutokana na matatizo ya kifamilia nikawa nimepata points 28 lakini kwa sasa nimesha jipanga vya kutosha.
Ombi langu yeyote anayejua chuo kizuri ambacho naweza kusoma na nikapata ajila anisaidie kwa sababu najua wengine walimu humu wengine ni wasomi ila walipitia kama mimi naomba ushauri wenu
Waenga wanasema bora ushauri kuliko pesa nitashukru.

Ni pm brother kwa namba yako ,nikutel vizuri MENTION=69650]iringa[/MENTION]
 
Back
Top Bottom