Lwakitwe
Senior Member
- Aug 14, 2013
- 101
- 15
Habari za kazi pole na majukumu. Ndugu zangu wa Dar es salaam pole na matatizo yanayoendelea kutupata ya mafuriko Mungu tu atatutetea .Kwanza nianze kwa kuwashirikisha katika hili
Mimi ni kijana mwenye miaka 24. niko Dar es salaam nilimaliza form four 2012 kutokana na matatizo ya kifamilia nikawa nimepata points 28 lakini kwa sasa nimesha jipanga vya kutosha.
Ombi langu yeyote anayejua chuo kizuri ambacho naweza kusoma na nikapata ajila anisaidie kwa sababu najua wengine walimu humu wengine ni wasomi ila walipitia kama mimi naomba ushauri wenu
Waenga wanasema bora ushauri kuliko pesa nitashukru.