Msaada;Civil Engineering&Electrical Engineering.

Chum Kane

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2013
Posts
1,143
Reaction score
948
Kwa anaye fahamu chochote kuhusu kozi tajwa naomba achangie..NB MAJIGAMBO YA VYUO SI PAHALA PAKE.
 
Civil &electrical engeneering zote ni nzuri xana ,bcoz xalary yake inaanzia lak 9,tatzo linakuja kwenye ajira,cku hz wanaxota xana mtaani coz n weng xana for more info: col [updated-boy]
 
Shukran kwa mchango wako.
 
mkuu kwa ushauri tafuta thread kama hiyo humu jukwaani! Coz watu walisha-discuss hio inshu
 
Civil &electrical engeneering zote ni nzuri xana ,bcoz xalary yake inaanzia lak 9,tatzo linakuja kwenye ajira,cku hz wanaxota xana mtaani coz n weng xana for more info: col [updated-boy]

Huu uandishi wako unadhirisha hataulichoandika ni UONGO!!!
 
Civil &electrical engeneering zote ni nzuri xana ,bcoz xalary yake inaanzia lak 9,tatzo linakuja kwenye ajira,cku hz wanaxota xana mtaani coz n weng xana for more info: col [updated-boy]

Duu! Kwa uandishi huu na wewe unataka uwe engineer? Kwa nini usiwe msanii tu??!
 
Kipi unakipenda ndo kinamata zaidi..kama huko compitent ajira sio ishu kabisa
 
Back
Top Bottom