Mkuu bado wafanya hii biashara?Mi huwa nafanya biashara ya viungo vya chakula Juba na Kampala.....kule biashara ni nzuri sana ....ila kwa sasa hakuna usalama ...manake nimepeleka mzigo wa viungo kama tani 40 mpaka sasa njia kuingia interior zimefungwa,hakuna usalama, yapata mwezi mzima sasa...