Msaada/connection

Msaada/connection

george pk

Senior Member
Joined
Jun 15, 2020
Posts
123
Reaction score
165
Habari ya mchana ndg zangu..
Naombeni nipate connection ya mfanyakazi wa FAIDIKA , makao makuu.

Nna shida ya mhimu sana ... na nikiangalia muda si rafiki.
Mwenye mawasiliano aniPM ...


Nitashukuru.
 
Faidika ndo Nini? Inafanya nin? Unaleta habari kama wote tunafahamu hiyo faidika.
 
Kama ina wenyewe si wangeyamalizi huko kabla ya kuleta humu jamvini!
 
Faidika ndo Nini? Inafanya nin? Unaleta habari kama wote tunafahamu hiyo faidika.
Tayari nishapata utatuzi...

But kwa swali lako tu...
Faidika ni kampong inay9jihusisha na mikopo kwa watumishi wa serikali tu
 
Back
Top Bottom