Msaada credit card ya kianzio kidogo

EXIM wanatoa MasterCard ila unafungua fixed account kama collateral ya hiyo card. Unaweza kutumia mpaka 80% ya hela uliyodeposit kwenye fixed account. Miaka ya 2011/12 huduma haikuwa nzuri kwani ndiyo walikuwa wanaanza. Nilipata nao shida nikiwa safarini kama sio tabia ya kutembea na cash ningekoma. Ila kwa sasa huduma yao iko vizuri sana. Ni zaidi ya miaka miwili sijakumbana na kwikwi yoyote kwenye mtandao au ATM za nje.
 
Nami naomba kuuliza zaidi,hivi nikiwa na card ya debit card ya NBC visa card ya kitanzania naweza kufanya manunuzi online,nafanyaje fanyaje hii?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…