Nduoni-Kanango
Member
- Aug 8, 2010
- 9
- 5
EXIM wanatoa MasterCard ila unafungua fixed account kama collateral ya hiyo card. Unaweza kutumia mpaka 80% ya hela uliyodeposit kwenye fixed account. Miaka ya 2011/12 huduma haikuwa nzuri kwani ndiyo walikuwa wanaanza. Nilipata nao shida nikiwa safarini kama sio tabia ya kutembea na cash ningekoma. Ila kwa sasa huduma yao iko vizuri sana. Ni zaidi ya miaka miwili sijakumbana na kwikwi yoyote kwenye mtandao au ATM za nje.