Habarini wana bodi
Nimeleta mrejesho waungwana baada ya kufanya vipimo vya kutosha sasa naomba msaada tafadhari. Nimekuwa nikisumbuliwa na vichomi maeneo ya tumboni, kibofu na pumbu kuvuta ni tatizo la mda na nimetumia dawa nyingi tu ila sijapata nafuu mpaka sasa sijui kama ni U.T.I au kuna tatizo lingine maana mwanzoni tatizo lilikua kama UT.I lakini pamoja na kutumia dawa za U.T.I bado lipo.
Hivyo kuna vipimo nimefanya na nimetumia dozi nimemaliza lakini naona bado vichomi vipo na kende inavuta so naomba munihoji,kunishauri na kunipa tiba kulingana na majibu ya vipimo na dawa nilizo tumia.