Msaada: Daktari bingwa wa magonjwa ya kiume

Msaada: Daktari bingwa wa magonjwa ya kiume

ntilavano

Senior Member
Joined
Mar 10, 2015
Posts
136
Reaction score
31
Habarini wana bodi

Nimeleta mrejesho waungwana baada ya kufanya vipimo vya kutosha sasa naomba msaada tafadhari. Nimekuwa nikisumbuliwa na vichomi maeneo ya tumboni, kibofu na pumbu kuvuta ni tatizo la mda na nimetumia dawa nyingi tu ila sijapata nafuu mpaka sasa sijui kama ni U.T.I au kuna tatizo lingine maana mwanzoni tatizo lilikua kama UT.I lakini pamoja na kutumia dawa za U.T.I bado lipo.

Hivyo kuna vipimo nimefanya na nimetumia dozi nimemaliza lakini naona bado vichomi vipo na kende inavuta so naomba munihoji,kunishauri na kunipa tiba kulingana na majibu ya vipimo na dawa nilizo tumia.
 

Attachments

  • 1435920600080.jpg
    1435920600080.jpg
    28.5 KB · Views: 332
  • 1435920623552.jpg
    1435920623552.jpg
    21.9 KB · Views: 308
  • 1435920668625.jpg
    1435920668625.jpg
    12.9 KB · Views: 278
  • 1435920719557.jpg
    1435920719557.jpg
    23.1 KB · Views: 288
Kabla ya vipimo hapo juu nilifanya urine culture na kuandikiwa dozi hizi kama picha zinavyoonekana hapo chini. Hizo dawa nilianza za sindano baadae ndio nikapewa hizo zilizopo hapo chini za vidonge ila haikufaa kitu ndio nikafanya vipimo vingine kama nilivyoleta kwenye post ya kawanza.
 

Attachments

  • 1435920927047.jpg
    1435920927047.jpg
    37.7 KB · Views: 250
  • 1435920958415.jpg
    1435920958415.jpg
    55.8 KB · Views: 246
  • 1435921145060.jpg
    1435921145060.jpg
    20 KB · Views: 245
Naomba huu uzi msiuchanganye na mada zingine ili usijepoteza ubora wake kwa sasa na mimi nina shida ya wataalamu ili wanitatulie hii shida.
 
Nenda tumaini hospital pale upanga karibu na Diamond Jublee Hall ukaonane na Prof. NYONGORO.

katika watu ninao waheshimu ni prof. yongolo!! ni one of the best urologist tulionao kwa sasa... too bad anazeeka! ila ameacha legacy nzuri pale muhimbili wapo vijana wanafuata nyayo zake! ....

yes nadhani prof. atamsaidia ...
 


katika watu ninao waheshimu ni prof. yongolo!! ni one of the best urologist tulionao kwa sasa... too bad anazeeka! ila ameacha legacy nzuri pale muhimbili wapo vijana wanafuata nyayo zake! ....

yes nadhani prof. atamsaidia ...

Msaada wenu naona kama nimepona tayari baada ya kunitajia huyo mtu
 
Muhimbili manesi wanatabia mbaya,mgonjwa anata kuonana na ulorogist yeye anakupeleka kwa gainocologist,sijui wanapewaga cha juu.Imeshanikost saana.Kama jamaa wamekutajia jina la uyo prof itakuwa vizuri unamuulixis yeye mwenyewe,Manesi wanachuza
 
Back
Top Bottom