Habari wakuu. Msaada tafadhali kwa anayefahamu daktari bingwa wa moyo kwa watoto (cardiologist) naomba mawasiliano yake au jina na hospital anayopatikana. Natanguliza shukrani.