NZURI PESA
JF-Expert Member
- Mar 25, 2011
- 5,958
- 2,954
samahani je kama nimepata mtoto wa kwanza salama na ujauzito zaidi ya 4 zimetoka je ninawezakuchoma hiyo sindanoya ANT D na ikanisaidia?Mkeo mjamzito utasemaje hapati mimba???
Ni kuwa kwa kuwa mje ni negative na wewe positive akijifubgua anatakiwa achome sindano ya anti D, asipochoma ndio atakuwa anapoteza ujauzito na kutopata watoto
Hiyo sindano ni muhimu sana mjipange aipate
Haitosaidia.samahani je kama nimepata mtoto wa kwanza salama na ujauzito zaidi ya 4 zimetoka je ninawezakuchoma hiyo sindanoya ANT D na ikanisaidia?
du! majangaHaitosaidia.
Sindano inatakiwa kuchomwa baada ya mjamzito kujifungua...
mkuu hata ikichomwa baada ya ujauzito kutoka haita saidia?Haitosaidia.
Sindano inatakiwa kuchomwa baada ya mjamzito kujifungua...
Nenda hospital. Huyo daktari kakwambia bila ya kukupa sulihisho la tatizo lako. Kwa kifupi mkiwa na utofauti kwenye R-factor uwezekano wa kupata mtoto hasa mkeo anapobeba mimba ya pili unakuwa ni mgumu. Hii hutokana na mwili wa binadamu unakitu inaitwa antbody ambayo hufanya body defense. Sasa unapobeba mimba ya kwanza malanyingi kunakuwa hakuna shida ila kutokana na utofauti wa R- factor mwili hutengeneza defens zidi ya kili kinachoingia kwenye tumbo la mwanamke kama mimba kutoka kwa mtu mwenye hiyo R-tofauti na mwanamke. Hivyo kutatua tatizo mkeo pale anapohisi anamimba haraka unampeleka hospital wanamchoma sindano inaitwa ant rhesus. Hicho ndio ninachokijuaJamani waungwana naombeni msaada,
Kwa madaktari nimetoka hospital na wife wangu tumepima vipimo vyote tuko poa ila tatizo kwenye blood group yeye ana O negative na mimi nina B positive kwa maelezo ya daktari kasema hapa kuna uwezekano mke wangu akawa hapati mtoto na hata kama akipata basi mtoto atakufa kwa sababu group zetu haziendani halafu mke wangu ni mjauzito.
Nipeni ushauri hapo ndugu zangu.
Ninavyojua inabidi uchome baada ya kuuifungua.mkuu hata ikichomwa baada ya ujauzito kutoka haita saidia?
Ndio unaweza ila kama tatizo ni la hizo rheusus sijui nini nini za damu. Ila ushauri ni uchunguzi zaidi ufanyike ikiwa pamoja na hiyo rheusussamahani je kama nimepata mtoto wa kwanza salama na ujauzito zaidi ya 4 zimetoka je ninawezakuchoma hiyo sindanoya ANT D na ikanisaidia?
amiinPole sana waone wataalam wanachakukusaidia usikate tamaa Mungu ni mweza wa yote.
ahsante mkuuNdio unaweza ila kama tatizo ni la hizo rheusus sijui nini nini za damu. Ila ushauri ni uchunguzi zaidi ufanyike ikiwa pamoja na hiyo rheusus
Ni kweli baada ya kujifungua mtoto atapimwa kujua kama ni rh+ve or rh -ve, pia mama atapewa sindano inaitwa ant D,na inatakiwa ndani ya saa72 awe amepata. Usiogope ni kitu cha kawaida na wengi wanapata wattAlichosema yeye kwmb kuna sindano ya dawa anatkiwa achome itagharimu laki 4
sawa mkuuNinavyojua inabidi uchome baada ya kuuifungua.
Kama hakuchoma apatapo mimba inabidi kiwa ktk uangalizi wa karibu sana na dr
Mie bado naona kama mleta mada anataka my confirm bei ya lak 4.....je ni halali au laa . Mie nadhani tumshauri amwamini Dr wake na pia asitie hofu juu ya bei ya tiba yake....yawezekans ni tiba toka narekani wakati hizi za laki na nusu mpaka lak 2 ni zile za China na India.Ni kweli baada ya kujifungua mtoto atapimwa kujua kama ni rh+ve or rh -ve, pia mama atapewa sindano inaitwa ant D,na inatakiwa ndani ya saa72 awe amepata. Usiogope ni kitu cha kawaida na wengi wanapata watt
Na ndio maana madaktari huwa wanashauri wachumba kabla hamjaoana ni vema/muhimu kupima damu. Ila wengi wasioelewa hukimbia suala la kupima damu.Baada ya Hizo Sindano kuna uzao Mwema kweli? Na mtoto hatokuwa na matatizo baadae? ni vyema kama binadamu tumegundua haya ni vizuri watu wawe wanapima ionekane wanaendana ndipo waoane... kuliko kuja kuzalisha watoto watakaoteseka duniani...
Kwani mzizi mkavu ni Daktari??? Sio mganga wa jadi??kuna madactor wazuri humu njooni mtuelimishe, nijuavyo mie wanasema zikiwa 0+ na 0+ au 0- na 0- ndio shida madactar hii ni kweli?
cc mzizi mkavu