Hapana mkuu ela sio kitu kwny uzma wa mtu ila ilikuwa kitu kgeni kwa upande wng ndo maana nikaja huku mnipe mawazo yanayoendana na tatzo ila nashukuru sana wadau zng wa humu kwa kunipa mawazo chanyaMie bado naona kama mleta mada anataka my confirm bei ya lak 4.....je ni halali au laa . Mie nadhani tumshauri amwamini Dr wake na pia asitie hofu juu ya bei ya tiba yake....yawezekans ni tiba toka narekani wakati hizi za laki na nusu mpaka lak 2 ni zile za China na India.
Asante kwa mawazo God HealsNa ndio maana madaktari huwa wanashauri wachumba kabla hamjaoana ni vema/muhimu kupima damu. Ila wengi wasioelewa hukimbia suala la kupima damu.
Aidha kwa kawaida hawa watoto wanaopatikana kwa mtindo huu, wa kwanza anaweza kuzaliwa salama hata bila kuchoma hyo sindano ya anti D, lkn afya yake/zao huwa znakuwa co nzur mara nyingi au hata kupelekea kufariki baadae. Mimba ya pili na kuendelea karibu mara zte huwa znatoka/kuharibika.
Aidha ajaribu kutafuta hyo cndano hospitalini inaweza msaidia.
Ila kupima DAMU kabla ya kuoana ni muhimu sana, ili kuepusha matatizo kama haya na mengine mengi. Asnte!
Kwani mzizi mkavu ni Daktari??? Sio mganga wa jadi??
Kwani mzizi mkavu ni Daktari??? Sio mganga wa jadi??
sijui ila maelezo yake sio ya mtu ambae hana elimu hiyoKwani mzizi mkavu ni Daktari??? Sio mganga wa jadi??
Rhesus ni aina ya antigen ambazo hupatikana kwenye chembe chembe nyekundu (red blood cells) za watu wenye Rh+ blood group. Hivyo watu hawa hawana Antibody kwenye damu yao dhidi ya Rh positive antigen.sijui ila maelezo yake sio ya mtu ambae hana elimu hiyo
Mungu tena??Mungu atakusaidia...
Asante pia kaka OmmydeeAsante kwa mawazo God Heals
Alichosema yeye kwmb kuna sindano ya dawa anatkiwa achome itagharimu laki 4
asante kwa elimu mzuri kumbe na raina aina ya blood group mm najua zile za kawaida nRhesus ni aina ya antigen ambazo hupatikana kwenye chembe chembe nyekundu (red blood cells) za watu wenye Rh+ blood group. Hivyo watu hawa hawana Antibody kwenye damu yao dhidi ya Rh positive antigen.
Watu wenye Rh -ve blood group hawana hizi antigen, hivyo wakiwekewa damu kutoka yenye Rh +ve wnatengeneza Antibody ambazo hushambulia chemechembe nyekundu zenye Rh+. Vivyo hivyo kwa mama mwenye Rh -ve blood group akizaa na mwanamume mwenye Rh + blood group, na ikatokea mtoto akawa na Blood group ambayo ni Rh +ve, basi damu ya mtoto ikichanganyika na ya mama itasababisha mama atengeneze antibody dhidi ya chembe chembe nyekundu zenye Rh +ve antigen. Kwa bahati nzuri damu ya mama na ya mtoto haichanganyiki wakati wa ujauzito, ila wakati wa kujifungua damu ya mtoto inaweza kukutana na damu ya mama, hivyo mama anaweza kutengeneza antibody dhidi ya chembe nyekundu zenye RH +ve za mtoto, antibody hizi hazina madhara kwa mtoto huyu kwa kuwa zimetengenezwa wakati akizaliwa.
Hizi antibody hubaki mwilini kwa mama, na zina uwezo wa kupenya na kwenda kwa mtoto, hivyo mtoto wa pili naye akiwa ni Rh +ve, anibody hizi hupenya katika placenta na kwenda kushambulia chembe nyekundu za damu (red blood cells) za mtoto aliye tumboni, hivyo kusababisha upungufu wa damu kwa mtoto aliye tumboni na hata kusababisha kuharibika kwa mimba.
Natumai nimetoa maelezo ya kuelezea Rhesus incompatibility na mdahara yake kwa mtoto ambaye hajazaliwa.
Asante kwa majibu mazuri kumbe kuna blood group inaitwa Rh? Umeeleza vizuri Dah nawakubaliga sana ma drRhesus ni aina ya antigen ambazo hupatikana kwenye chembe chembe nyekundu (red blood cells) za watu wenye Rh+ blood group. Hivyo watu hawa hawana Antibody kwenye damu yao dhidi ya Rh positive antigen.
Watu wenye Rh -ve blood group hawana hizi antigen, hivyo wakiwekewa damu kutoka yenye Rh +ve wnatengeneza Antibody ambazo hushambulia chemechembe nyekundu zenye Rh+. Vivyo hivyo kwa mama mwenye Rh -ve blood group akizaa na mwanamume mwenye Rh + blood group, na ikatokea mtoto akawa na Blood group ambayo ni Rh +ve, basi damu ya mtoto ikichanganyika na ya mama itasababisha mama atengeneze antibody dhidi ya chembe chembe nyekundu zenye Rh +ve antigen. Kwa bahati nzuri damu ya mama na ya mtoto haichanganyiki wakati wa ujauzito, ila wakati wa kujifungua damu ya mtoto inaweza kukutana na damu ya mama, hivyo mama anaweza kutengeneza antibody dhidi ya chembe nyekundu zenye RH +ve za mtoto, antibody hizi hazina madhara kwa mtoto huyu kwa kuwa zimetengenezwa wakati akizaliwa.
Hizi antibody hubaki mwilini kwa mama, na zina uwezo wa kupenya na kwenda kwa mtoto, hivyo mtoto wa pili naye akiwa ni Rh +ve, anibody hizi hupenya katika placenta na kwenda kushambulia chembe nyekundu za damu (red blood cells) za mtoto aliye tumboni, hivyo kusababisha upungufu wa damu kwa mtoto aliye tumboni na hata kusababisha kuharibika kwa mimba.
Natumai nimetoa maelezo ya kuelezea Rhesus incompatibility na mdahara yake kwa mtoto ambaye hajazaliwa.
Mkuu muulize habari ya aliyeanguka na bombadia dar hii sayansi ya mwili sio level yakeKwani mzizi mkavu ni Daktari??? Sio mganga wa jadi??
Chunguza elimu ya huyo daktari, utakuta ni Clinical officer. Kwa dunia ya leo nadhan hiyo siyo issue tena. Mambo ya Rh factor yana treatment yake hospitali, google uoneJamani waungwana naombeni msaada,
Kwa madaktari nimetoka hospital na wife wangu tumepima vipimo vyote tuko poa ila tatizo kwenye blood group yeye ana O negative na mimi nina B positive kwa maelezo ya daktari kasema hapa kuna uwezekano mke wangu akawa hapati mtoto na hata kama akipata basi mtoto atakufa kwa sababu group zetu haziendani halafu mke wangu ni mjauzito.
Nipeni ushauri hapo ndugu zangu.