msaada daktari wa meno moshi

msaada daktari wa meno moshi

WA MAMNDENII

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2010
Posts
344
Reaction score
58
Wanajamvi nipo huku moshi kumalizia kuselebuka na masikukuu ya mwisho wa mwaka sasa nahitaji daktari wa meno kwa ajili ya mama yangu , tafadhali kwa mkaazi wa moshi anijuze hospitali nitakapompata bingwa wa meno
 
Wadau mliopo moshi hakuna anayejua hospitsli inayotoa huduma ya meno hasa private
 
Nenda Kilimanjaro Health centre iliyopokaribu na kanisa katoliki la korongoni ama nenda jengo la Tarimo complex karibu na stand ya mabasi ya soweto
 
KCMC kuna kitengo cha meno,hapo utapa huduma hiyo bila tatizo.
 
Back
Top Bottom