Msaada: Daktari wa mifupa

Msaada: Daktari wa mifupa

ankle ya mguu

Kwa kweli maDaktari wazuri wa mifupa MOI wengi kama si wote wazuri. Labda ungesema unataka wa superspeciality ipi? Hand, Knee, Hip, back (spinal cord), head (neurosurgeon) etc?
 
konnie mwaya sina hata doctori nayemjua pale my dear
bora naona mtani wangu amekupa hizo link unaweza kuchek nao
 
kongosho si uende kwa wale wanaotibu kwa mitishapa kwa bluetooth?
 
Back
Top Bottom