natamani swali lako ungeliwekea nyama kidogo ila hutaweza tungisha mimba kama
1. Kama jogoo hasimami
2. Kama unafika kileleni mapema kuliko kawaida
3. Kama huwezi kufika mshindo.
4..,............................
5...............................
6...............................
Nyingine wataongeza ila hizo nlizokutajia kama unazo wala usimsingizie shemeji