Msaada dalili za mwanaume kujua huwez kutungusha mimba

Msaada dalili za mwanaume kujua huwez kutungusha mimba

natamani swali lako ungeliwekea nyama kidogo ila hutaweza tungisha mimba kama
1. Kama jogoo hasimami
2. Kama unafika kileleni mapema kuliko kawaida
3. Kama huwezi kufika mshindo.
4..,............................
5...............................
6...............................
Nyingine wataongeza ila hizo nlizokutajia kama unazo wala usimsingizie shemeji
 
Asnte kwa ushaur wen wana jamvi
 
Back
Top Bottom