Msaada Dawa hii inatumika kutibu nini?

Msaada Dawa hii inatumika kutibu nini?

Hii ndo dose taking style ya Prednisolone.

Labda nimuulize mgonjwa, huo uvimbe upo sehemu/upande gani wa shingo?

Je, huo uvimbe ulipimwa kwanza au Dr aliuangalia tu then akakupatia dawa?

Je, huo uvimbe una size gani?

Sometimes vimbe huwa na preliminary stage ya development ya tumor inayopelekea cancer! Nijibu hapo juu then tuone kama tushauri ukapime goitre

Sent using Jamii Forums mobile app
Uvimbe uko upande wa kulia wa shingo una size ndogo kama harage

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tusubiri majibu ya Mgonjwa Mkuu
Hii ndo dose taking style ya Prednisolone.

Labda nimuulize mgonjwa, huo uvimbe upo sehemu/upande gani wa shingo?

Je, huo uvimbe ulipimwa kwanza au Dr aliuangalia tu then akakupatia dawa?

Je, huo uvimbe una size gani?

Sometimes vimbe huwa na preliminary stage ya development ya tumor inayopelekea cancer! Nijibu hapo juu then tuone kama tushauri ukapime goitre

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabla ya kutumia hizo dawa ulitakiwa ujue hum uvimbe ni nini na ni wa namna gani? Ni vzr ikiwezekana ikachukuliwa kinyama kidogo cha you uvimbe na kupelekwa maabara kufanyiwa uchunguzi( tissue biopsy for histological examination). Nione daktari wa ENT atakusaidia zaidi
 
Back
Top Bottom