Msaada Dawa hii inatumika kutibu nini?

Uvimbe uko upande wa kulia wa shingo una size ndogo kama harage

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tusubiri majibu ya Mgonjwa Mkuu
 
Kabla ya kutumia hizo dawa ulitakiwa ujue hum uvimbe ni nini na ni wa namna gani? Ni vzr ikiwezekana ikachukuliwa kinyama kidogo cha you uvimbe na kupelekwa maabara kufanyiwa uchunguzi( tissue biopsy for histological examination). Nione daktari wa ENT atakusaidia zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…