Sigara Kali
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 3,623
- 8,442
Salaam wana jukwaa
Naombeni msaada sana juu ya hili tatizo langu
Nimekua na tatizo la kusumbuliwa na uchafu kwenye mkojo wenyewe wanaita UTI
Ni muda sasa linapungua linaongezeka tena natumia dawa lakini wapi nkipima naambiwa mkojo mchafu
Mkojo ninaokojoa ni wanjano kiaina,nikinywa maji mengi au bia nakojoa mkojo white
Sasa ombi langu mnitajie dawa ya kisasa(Kisayansi) itakayomaliza hili tatizo kabisa na niwe na mkojo safi na niwe nakojoa mkojo mweupe
Hali hii nahisi imenisababishia hadi uume wangu usisimame Mara kwa mara hasa nyakati za asubuhi naona hali imekua mbaya zaidi
Pia nikiwa nasex nachukua muda mrefu sana kupiga bao
Mnishauri jamani nitumie dawa gani itakayonisaidia kutibu kabisa UTI,Asanteni