Msaada:Dawa nzuri na bora ya kutokomeza UTI

Sigara Kali

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2017
Posts
3,623
Reaction score
8,442
Salaam wana jukwaa
Naombeni msaada sana juu ya hili tatizo langu
Nimekua na tatizo la kusumbuliwa na uchafu kwenye mkojo wenyewe wanaita UTI
Ni muda sasa linapungua linaongezeka tena natumia dawa lakini wapi nkipima naambiwa mkojo mchafu
Mkojo ninaokojoa ni wanjano kiaina,nikinywa maji mengi au bia nakojoa mkojo white

Sasa ombi langu mnitajie dawa ya kisasa(Kisayansi) itakayomaliza hili tatizo kabisa na niwe na mkojo safi na niwe nakojoa mkojo mweupe
Hali hii nahisi imenisababishia hadi uume wangu usisimame Mara kwa mara hasa nyakati za asubuhi naona hali imekua mbaya zaidi
Pia nikiwa nasex nachukua muda mrefu sana kupiga bao

Mnishauri jamani nitumie dawa gani itakayonisaidia kutibu kabisa UTI,Asanteni
 
Mkuu njoo inbox

Lakini kama upo dsm kuna sehemu imenisaidia nilisumbuliwa na u t i kwa muda wa miaka miwili nilipita karibu hospital zote kubwa bila mafanikio hadi mzizi Mkavu alishidwa

Lakini kwa hivi sasa nipo poa kabisa baada ya kupata dawa hiyo
 
Inbox ya nini sasa.. Kika kitu deal tu mnafanya khaa
 
Hujishangai mkuu ukinywa maji mengi unakojoa mkojo sio wa njano we kunywa maji mengii
 
Mkuu njoo inbox

Lakini kama upo dsm kuna sehemu imenisaidia nilisumbuliwa na u t i kwa muda wa miaka miwili nilipita karibu hospital zote kubwa bila mafanikio hadi mzizi Mkavu alishidwa

Lakini kwa hivi sasa nipo poa kabisa baada ya kupata dawa hiyo
We vipi au unataka kujinufausha kwa ugonjwa wa mwenzako

Si uitaje hiyo sehemu/hospito ili iwe faida kwa wengine pia

Au tapeli/mission town
 
Dawa ni maji tu...kunywa maji sana... mimi pia ilikuwa inanisumbua na nimejilazimisha kupenda maji ni mwaka sasa sijaona UTI wala muwasho wa aina yoyote
 
Mkuu njoo inbox

Lakini kama upo dsm kuna sehemu imenisaidia nilisumbuliwa na u t i kwa muda wa miaka miwili nilipita karibu hospital zote kubwa bila mafanikio hadi mzizi Mkavu alishidwa

Lakini kwa hivi sasa nipo poa kabisa baada ya kupata dawa hiyo
mkuu hebu nisaidie na mimi pia, kama hutojali tupia maelezo hapa
 
Mkuu njoo inbox

Lakini kama upo dsm kuna sehemu imenisaidia nilisumbuliwa na u t i kwa muda wa miaka miwili nilipita karibu hospital zote kubwa bila mafanikio hadi mzizi Mkavu alishidwa

Lakini kwa hivi sasa nipo poa kabisa baada ya kupata dawa hiyo
Sijawahi kukutibu Maradhi ya UTI mimi usipende kuongopa Mungu atakuadhibu kwa kuongopa kwako. Wewe ukitaka kumsaidia mtu msaidie lakini usitumie jina langu kuniharibia kwa watu Utalaanika kwa Mungu nitamuomba Mungu akulaani kwa kutaka kuniharibia jina langu.
 
Back
Top Bottom