Msaada:Dawa rahsi ya kufanya paka au mbwa asizae

Kamgomoli

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2018
Posts
1,896
Reaction score
4,058
Wataalamu wenzangu wa mifugo,naomba msaada wa dawa rahsi ya kumfanya paka au mbwa awe sterile( Tasa) bila kufanya operation ya kuondoa ovary.
 
Tafuta daktari wa wanyama atawahasi hao paka!
 
Wataalamu wenzangu wa mifugo,naomba msaada wa dawa rahsi ya kumfanya paka au mbwa awe sterile( Tasa) bila kufanya operation ya kuondoa ovary.
Yupo bibi mmoja wa kimasai ni jirani yangu aliwahi niambia Blue ile wanawekaga kwenye nguo kuwa inafaa kwa kazi hyo.

Unamwekea Paka anakunywa km maji, kwa mbwa sijui aisee... mm ninefanya hvy nasikilizia matokeo!!
 
Hiyo ya blue nmeisikia ,ila baada ya kujiongeza nmegundua hiyo blue ni carcinogenic inaenda kusabababisha cancer kwenye nyumba ya kizazi ndio maana paka anakua hazai.Hivyo kuna risk ukitumia.

Back
Top Bottom