Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usijali, lakini ungekua jirani ningekutumia mavi ya tembo( ni makamba kamba Fulani yamesagika kiufundi)Nitashikuru ukinionyesha picha
Degedege hospitalini! Sawa lakini siafikiDegedege ni dalili ya ugonjwa fulani na heri utambue degedege si ugonjwa!
Kitaalamu degedege hujulikana kama CONVULSION
Hio inaweza kuwa dalili ya magonjwa mbalimbali kama vile Malaria mbaya, Meningitis ( uvimbe katika tabaka la nje la ubongo), kifafa na nk
Usitafute dawa muwahishe hospitali apewe matibabu!!!
Sent from my iris50 using JamiiForums mobile app
Kama nilivyokueleza mwanzo Degedege si ugonjwa bali ni dalili ya ugonjwa fulani usioujua!Degedege hospitalini! Sawa lakini siafiki
Ahsante mkuu Kwa ushauriKama nilivyokueleza mwanzo Degedege si ugonjwa bali ni dalili ya ugonjwa fulani usioujua!
Hivyo kinachotakiwa kutibiwa kwanza ni chanzo kinachosababisha Degedege
Nimekushauri kitaalam tu
Sent from my iris50 using JamiiForums mobile app
Hujakosea Kila akipata hata homa ya mafua makal inamkuta ni akiumwa tuuu ndo hua inamjia Tena akiwa na homa tuDegedege ni dalili ya ugonjwa fulani na heri utambue degedege si ugonjwa!
Kitaalamu degedege hujulikana kama CONVULSION
Hio inaweza kuwa dalili ya magonjwa mbalimbali kama vile Malaria mbaya, Meningitis ( uvimbe katika tabaka la nje la ubongo), kifafa na nk
Usitafute dawa muwahishe hospitali apewe matibabu!!!
Sent from my iris50 using JamiiForums mobile app
Numekuambia ya Tembo!Mavi ya ngombe yamekataaa kufanya kazi kwake
Mavi ya ngombe yamekataaa kufanya kazi kwake
Haya ndio hayo majani ambayo hupondwa pondwa na kuogeshea au kumpukutia mtoto.Nitashikuru ukinionyesha picha
Kwa jina jingine huitwa KIVUMBASIhupondwa
Chief upo sahii , maana ata homa ikiwa kari kwa watoto inasababisha iyo degedegeDegedege ni dalili ya ugonjwa fulani na heri utambue degedege si ugonjwa!
Kitaalamu degedege hujulikana kama CONVULSION
Hio inaweza kuwa dalili ya magonjwa mbalimbali kama vile Malaria mbaya, Meningitis ( uvimbe katika tabaka la nje la ubongo), kifafa na nk
Usitafute dawa muwahishe hospitali apewe matibabu!!!
Sent from my iris50 using JamiiForums mobile app
Usisite kutupa namba ya huyo mzee au mrejesho?Pole kwa kuuguza huu ugonjwa mbaya sana mwanangu alitibiwa hospitali zote kubwa Muhimbili,Tumbi,Milembe,Malumba Psychiatric hosp,Bugando zote ziligonga mwamba tanhu akiwa na miezi 6 kaja pona akiwa na miaka 8 kwa dawa za kienyeji nilihangaika sana hadi umasikini ulinikamata. Pambana ukikosa majibu nifanye kufuatilia aliyemtibu ni mzee 1 wa Iringa namba sinazo tena ila nikifuatilia naweza unganisha dot. Pole sana kwa kuuguza huo ugonjwa siyo mzuri kabisa ndg.
Naomba kufahamu sababu ya kutokuafiki hospitaliniDegedege hospitalini! Sawa lakini siafiki