Masikin mpe pole sanauwiiiii!!!
vinasababishwa na nini hsswa???Masikin mpe pole sana
Hizo genital warts huwa hazina dawa ila huwa zinakatwa au kuchomwa kitaalam
Na pia inasemekana kua vinaweza kukatwa au kuchomwa ila vikarudi tena mpaka vitakapoamua kuondoma vyenyewe
Mimi nilishapata hilo tatizo dr msuya (Arusha-st thomas) alinisaidia kwa hilo
Ila baada ya kufanyiwa hivyo vilirud tena mara moja,dr alichoniambia nibadilishe mfumo wangu wa maisha akimaanisha nile vyakula vya afya mf mboga za majani kw wingi mfano brocoli,couliflower,navingine vyote vya afya na kufanya sana mazoezi kwa sana
Aliniambia hivyo kwasbabu nilitakiwa niimarishe immunity system yangu ili niweze kupambana na hilo tatzo na mattzo mengine pia
Kwahyo jaribu kutumia huo ushauri na wewe.
hahahaha umetisha jombaaaNikajua ni vilainishi
Yes hyo dawa nzur inachoma sehemu iliyoathirika hili tatizo nilisoma sehemu linasababishwa na human papilloma virus wataalam tujuzeni zaidisilver nitrate ya kalamu.
Nakumbuka dr aliniambia kua ni bacteria sjui wame over grow!!sikumbuk vizurivinasababishwa na nini hsswa???
Sio vipelr ni kama vimaua vinaota chini kuzunguka ukeUnamaanisha haemoroids/piles au vipele tu?
vinasababishwa na nini hsswa???
Ushauri hapo msiamini sana yale mataulo mnayokuta lodges na kujifutia sehemu za siriMara nyingi vinasababishwa na wadudu wanaoitwa human papilloma virus (HPV). Wadudu hawa uambukizwa kwa kugusana ngozi kwa ngozi au kwa kujamiana (ngono).
Kama alivyosema mchangiaji moja, warts hazina tiba isipokuwa zinaweza kutoweka zenyewe baada ya muda (yawezekana miaka 2 kwa wadada), au kuunguzwa kwa kemikali au kukatwa. Unashauriwa kumwona daktari mahili wa ugonjwa huu kwasababu baadhi ya aina ya wadudu wa HPV wanabadirisha mfumo wa cell na kusababisha cancer hasa kwa wadada! Hivyo mgonjwa atatakiwa akafanyiwe Pap test ili kuangalia aina ya wadudu aliopata!