- Thread starter
- #21
Ndo Dawa gani sasa?Daaaaah hilo Janga kuna mtu namfahamu aliteseka sana mixer kutoa harufu mbaya huko chini lakini akaja kuponea kwenye tiba asilia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo Dawa gani sasa?Daaaaah hilo Janga kuna mtu namfahamu aliteseka sana mixer kutoa harufu mbaya huko chini lakini akaja kuponea kwenye tiba asilia
Vipele tuUnamaanisha haemoroids/piles au vipele tu?
Sijui alitumia dawa gani lkn alitibiwa kwa mganga wa jadiNdo Dawa gani sasa?
Genital warts husababishwa na kirusi kinaitwa human papilloma virus na ndo maana hakina dawa. Na huenezwa kwa njia ya ngonovinasababishwa na nini hsswa???
Silver alitumia ndo ikavizidisha KBS.hiyo ya kwanza nitaipata duka la Dawa?cyrotherapy ndo gold standard ila pia unaweza choma na silver nitrate. Kuna chanjo ya HPV siku hizi wapelekeni watoto wenu jamani. Na tuache ngono zembe
Binamu yangu alipata hilo tatizo, viliota juu ya uume. Alianza kupaka asali mara tatu kwa siku na vikaisha ndani ya wiki.
Jaribu hiyo kwanza
hapana ni surgery nadhani KCMC wanafanya ni mionziSilver alitumia ndo ikavizidisha KBS.hiyo ya kwanza nitaipata duka la Dawa?
SI USEME NI WEWE TU JAMANI ..MIMI NINAIJUA DAWA MWAMBIE MGONJWA MWENYEWE AJEDuuu mbona hatari, havina Dawa??
Yap na hivyo virusi ndivyo husababisha cancerYes hyo dawa nzur inachoma sehemu iliyoathirika hili tatizo nilisoma sehemu linasababishwa na human papilloma virus wataalam tujuzeni zaidi
Atafute apple cider vinegar achovye kwenye pamba abandike kwenye hivyo vidude kila siku muda wa kulala vitaishaNina ndugu yangu anasumbuliwa mwaka sasa, Hosp kibao kaenda vinapungua tu, Ila haviishi kabisa, kuna wakati vinarudi vingi.
Duuu kwa hyo ukipata hv v warts ni dalili ya cancer?Yap na hivyo virusi ndivyo husababisha cancer
Umeshawahi jaribu hiyo podophylin?Nina ndugu yangu anasumbuliwa mwaka sasa, Hosp kibao kaenda vinapungua tu, Ila haviishi kabisa, kuna wakati vinarudi vingi.
Pole mkuu ...kuonwa sio tatizo tatizo ni kupata tiba inayokufaa NA bila kuonwa hujapata tiba....Pia kitu cha kwanza ktk maadili ya udaktar ni kutunza sir za mgonjwa...kwa dr aliyesota miaka 6 hilo kwake ni sehemu ya maadili ya kazi yake....Sijui kwa watu type ya Dr Mwaka.mimi viliwahi nitokea
nikakalia hio detol wapiiii..
nikapaka ma tube ya phamarcy wapi
miezi ikayoyoma nikaja hapa jf
2014 nadhani...
nikasema tatizo langu, ndipo wakanifumbua macho kuwa ni genital warts
nikaenda hospital
hapo vina miezi kama mi4 nahangaika
nikaambiwa nichomwe na hio slver pensil
nikachoma inauma kuliko moto wa maji yaliyochemka
nikaambiwa niwe nakaa kwenye beseni lenye maji atleast lita5 niweke na detol kifuniko kimoja..
nikakaa kama mtoto
vinabanduka baadhi
baadhi vikabaki...
sikuchoka
nikaelekezwa docta wa akina mama mbagala kizuiani
hata bila ya kuviona nilivyomweleza tu akaniambia dawa podophlyn chemical soln
50000
nikapaka siku mbili tu!
ipo kama gundi inanuka kama bibo za korosho[emoji24]
ukipaka tu inaganda...
inauma ukitembea, siku ya kwanza nikaoga vzuri kesho yake nikapaka
iliuma mpaka basi
nilivyokuja kuoga
ckukuta hata alama ya warts
zoteee zikabanduka
k ikarudi kama ya mtoto
sasa nikauguza mchubuko
week nzima natembea kama nimebakwa
haja ndogo mtihani
nikanywa zangu amosyln
mpaka leo hata upele haujasogelea k....
[emoji122]Mungu ni mwema
japo kila daktari alitaka kuviona
sikusita kuwaonyesha....[emoji24]
hivo vidude nyie acheni tu.
Ipo dawa ya hivyo vimjamaa aisee ni ya maji una dondoshea kidogo vinaungua unarudia mara mbili vitaacha kidonda kikipona vinakoma kabisa ila makovu yake ndiyo huwa haya potei mwilinMasikin mpe pole sana
Hizo genital warts huwa hazina dawa ila huwa zinakatwa au kuchomwa kitaalam......Na pia inasemekana kua vinaweza kukatwa au kuchomwa ila vikarudi tena mpaka vitakapoamua kuondoma vyenyewe
Mimi nilishapata hilo tatizo dr msuya (Arusha-st thomas) alinisaidia kwa hilo
Ila baada ya kufanyiwa hivyo vilirud tena mara moja,dr alichoniambia nibadilishe mfumo wangu wa maisha akimaanisha nile vyakula vya afya.... mfano mboga za majani kwa wingi brocoli,couliflower,na vingine vyote vya afya na kufanya sana mazoezi kwa sana
Aliniambia hivyo kwa sababu nilitakiwa niimarishe immunity system yangu ili niweze kupambana na hilo tatizo na matatizo mengine pia
Kwa hiyo jaribu kutumia huo ushauri na wewe.