Msaada: Dawa ya Genital warts

Huu ni one of sexual transimitted disease(STI) na unaweza kuambikizwa kwa mwanamke au mwanaume kwa kuingiliana kimwili
Na ukikomaa unasababisha kansa katika sehemu za siri
 
Binamu yangu alipata hilo tatizo, viliota juu ya uume. Alianza kupaka asali mara tatu kwa siku na vikaisha ndani ya wiki.

Jaribu hiyo kwanza
 
cyrotherapy ndo gold standard ila pia unaweza choma na silver nitrate. Kuna chanjo ya HPV siku hizi wapelekeni watoto wenu jamani. Na tuache ngono zembe
 
Jamani genital warts hazina dawa na kosa la jinai kuzikata
Mwambie mgonjwa wako aweke maji ya uvuguvugu kwenye beseni achanganye na deto awe anakalia japo kwa dakika tano kila siku mara mbili kwa siku.itamsaidia sana na ajitahidi kuimarisha kinga na vyakula (trust me itasaidia sana)
 
cyrotherapy ndo gold standard ila pia unaweza choma na silver nitrate. Kuna chanjo ya HPV siku hizi wapelekeni watoto wenu jamani. Na tuache ngono zembe
Silver alitumia ndo ikavizidisha KBS.hiyo ya kwanza nitaipata duka la Dawa?
Binamu yangu alipata hilo tatizo, viliota juu ya uume. Alianza kupaka asali mara tatu kwa siku na vikaisha ndani ya wiki.

Jaribu hiyo kwanza
 
mimi viliwahi nitokea
nikakalia hio detol wapiiii..
nikapaka ma tube ya phamarcy wapi
miezi ikayoyoma nikaja hapa jf
2014 nadhani...
nikasema tatizo langu, ndipo wakanifumbua macho kuwa ni genital warts
nikaenda hospital
hapo vina miezi kama mi4 nahangaika
nikaambiwa nichomwe na hio slver pensil
nikachoma inauma kuliko moto wa maji yaliyochemka
nikaambiwa niwe nakaa kwenye beseni lenye maji atleast lita5 niweke na detol kifuniko kimoja..
nikakaa kama mtoto
vinabanduka baadhi
baadhi vikabaki...
sikuchoka
nikaelekezwa docta wa akina mama mbagala kizuiani
hata bila ya kuviona nilivyomweleza tu akaniambia dawa podophlyn chemical soln
50000
nikapaka siku mbili tu!
ipo kama gundi inanuka kama bibo za korosho[emoji24]
ukipaka tu inaganda...
inauma ukitembea, siku ya kwanza nikaoga vzuri kesho yake nikapaka
iliuma mpaka basi
nilivyokuja kuoga
ckukuta hata alama ya warts
zoteee zikabanduka
k ikarudi kama ya mtoto
sasa nikauguza mchubuko
week nzima natembea kama nimebakwa
haja ndogo mtihani
nikanywa zangu amosyln
mpaka leo hata upele haujasogelea k....

[emoji122]Mungu ni mwema
japo kila daktari alitaka kuviona
sikusita kuwaonyesha....[emoji24]
hivo vidude nyie acheni tu.
 
Yes hyo dawa nzur inachoma sehemu iliyoathirika hili tatizo nilisoma sehemu linasababishwa na human papilloma virus wataalam tujuzeni zaidi
Yap na hivyo virusi ndivyo husababisha cancer
 
Nina ndugu yangu anasumbuliwa mwaka sasa, Hosp kibao kaenda vinapungua tu, Ila haviishi kabisa, kuna wakati vinarudi vingi.
Atafute apple cider vinegar achovye kwenye pamba abandike kwenye hivyo vidude kila siku muda wa kulala vitaisha
 
Pole mkuu ...kuonwa sio tatizo tatizo ni kupata tiba inayokufaa NA bila kuonwa hujapata tiba....Pia kitu cha kwanza ktk maadili ya udaktar ni kutunza sir za mgonjwa...kwa dr aliyesota miaka 6 hilo kwake ni sehemu ya maadili ya kazi yake....Sijui kwa watu type ya Dr Mwaka.
 
Ipo dawa ya hivyo vimjamaa aisee ni ya maji una dondoshea kidogo vinaungua unarudia mara mbili vitaacha kidonda kikipona vinakoma kabisa ila makovu yake ndiyo huwa haya potei mwilin
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…