na dagaa piaHana madini ya iron ya kutosha mwilini . Mpe maini ya kutosha, baada ya muda ataacha
hamana kitu kama hicho ni upungufu wa madini tuHuyo MTT wako kuna jirani yko anamchezea so njooo nikupigie ramli fasta kabla hawajamuondoa
mtt awez kukushinda akili unamtegea tu pale anapocheza akiwashwa mara1 atauchukia mileleSasa mchanga wooote nitauwekajee mkuu
amina mkuu msalimie mtotoAsante sanaa mkuu kwa ushauri barikiwa Sana
Hana madini ya iron ya kutosha mwilini . Mpe maini ya kutosha, baada ya muda ataacha
Has has haaa aaaa mbavu zangu, watu wanajua kutumia fursa.Huyo MTT wako kuna jirani yko anamchezea so njooo nikupigie ramli fasta kabla hawajamuondoa