MSAADA: Dawa ya kizuia mtoto kuacha kula mchanga

MSAADA: Dawa ya kizuia mtoto kuacha kula mchanga

Revola

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2015
Posts
1,516
Reaction score
1,338
Ndugu zangu kuna mtoto wa jirani anaumri wa miaka miwili sasa ila tatizo ulaji wa mchangu umezidi kwa kasi sana, yani ukikaacha dk 1 tuu kwake ni golden chance kubwa sana kanabugia fastaa. Naomba yoyote mwenye maelekezo kuhusu dawa, pia afya yake imezorota minyoo wanamuendesha, ila kula mchanga haachi.
Nawasilisha.
 
Tegesha mchanga wenye pilipili Kali kila kona, kila akigusa amenaswa atachoka mwenyewe.
 
Back
Top Bottom