ndiyo furaha ya kuwa mzaziPoaa nitakapa hi japo kananitesa sn
Tafuta ushauri wa kitaabibu namna ya kuongeza uzalishaji wa madini chuma mwilini mwake! baadhi ya vyakula japo huchukua muda kiasi lkn pia kuna medical supplements utapewa za kusaidia kwa harakaNdugu zangu mwanangu anaumri wa miaka miwili sasa ila tatizo ulaji wa mchangu umezidi kwa kasi sana, yani ukikaacha dk 1 tuu kwake ni golden chance kubwa sana kanabugia fastaa, sasa tunashindwa kukadhibiti masaa yote. Naomba yoyote mwenye maelekezo kuhusu dawa anisaidie imefikia hatua minyoo imekuwa mingi tumboni ukimlisha chakula anatapika tuu, pia afya yake imezorota minyoo wanamuendesha, ila kula mchanga haachi.
Nawasilisha.
kila siku au??Hana madini ya iron ya kutosha mwilini . Mpe maini ya kutosha, baada ya muda ataacha
Wanaita Pica behavior pia hutokea kwa kina mama wajawazitoHana madini ya iron ya kutosha mwilini . Mpe maini ya kutosha, baada ya muda ataacha
Mda c mrefu ataanza kunya matofari tafuta kiwanja tu ujengeeWangu ana miaka 4 anaenda shule anakula......maini, dagaa dawa nimempa ila wapi. Imefika stage anaweka mifukoni anakulia timing anakula...kuna siku nilistuka nilikuta michanga kitandan nikawa najiuliz imetoka wapi niliogopa sana kumbe aliweka mifukon kwenye nguo ya kulali kala iliyobaki ndio ikawa imemwagika baaad y kupitiw na usingizi.
Na akipata choo kinakuwa kigum cheusi michanga mitupu nimempiga, nimemsema ila wapi
Amen, nawe barikiwa hadi ushangaeAsante sanaa mkuu kwa ushauri barikiwa Sana
Kitu chochote ambacho nature haiwezi ku-take care ni laana, ni beyond nature,yaani kama ni upungufu tu wa madini chuma, akila chakula au food supplements za madini chuma anaacha kabisa.Wangu ana miaka 4 anaenda shule anakula......maini, dagaa dawa nimempa ila wapi. Imefika stage anaweka mifukoni anakulia timing anakula...kuna siku nilistuka nilikuta michanga kitandan nikawa najiuliz imetoka wapi niliogopa sana kumbe aliweka mifukon kwenye nguo ya kulali kala iliyobaki ndio ikawa imemwagika baaad y kupitiw na usingizi.
Na akipata choo kinakuwa kigum cheusi michanga mitupu nimempiga, nimemsema ila wapi