MSAADA: Dawa ya kizuia mtoto kuacha kula mchanga

Ndugu zangu mwanangu anaumri wa miaka miwili sasa ila tatizo ulaji wa mchangu umezidi kwa kasi sana, yani ukikaacha dk 1 tuu kwake ni golden chance kubwa sana kanabugia fastaa, sasa tunashindwa kukadhibiti masaa yote. Naomba yoyote mwenye maelekezo kuhusu dawa anisaidie imefikia hatua minyoo imekuwa mingi tumboni ukimlisha chakula anatapika tuu, pia afya yake imezorota minyoo wanamuendesha, ila kula mchanga haachi.
Nawasilisha.
Tafuta ushauri wa kitaabibu namna ya kuongeza uzalishaji wa madini chuma mwilini mwake! baadhi ya vyakula japo huchukua muda kiasi lkn pia kuna medical supplements utapewa za kusaidia kwa haraka
 
Wangu ana miaka 4 anaenda shule anakula......maini, dagaa dawa nimempa ila wapi. Imefika stage anaweka mifukoni anakulia timing anakula...kuna siku nilistuka nilikuta michanga kitandan nikawa najiuliz imetoka wapi niliogopa sana kumbe aliweka mifukon kwenye nguo ya kulali kala iliyobaki ndio ikawa imemwagika baaad y kupitiw na usingizi.

Na akipata choo kinakuwa kigum cheusi michanga mitupu nimempiga, nimemsema ila wapi
 
Mda c mrefu ataanza kunya matofari tafuta kiwanja tu ujengee
 
Dogo hana madini ya chuma huyo..! Survival instinct ya ubongo imekickin ndo maana (ubongo) ukaamua ujipendelee wenyewe kutoka kwenye source (udongo)

Hata akina mama wajawazito hupendelea kula udongo kwasababu ya ukosefu wa madini ya chuma..! Wenyewe hawajui ila ndo ubongo huo umeshang'amua..!
 
Wangu ana miaka 4 anaenda shule anakula......maini, dagaa dawa nimempa ila wapi. Imefika stage anaweka mifukoni anakulia timing anakula...kuna siku nilistuka nilikuta michanga kitandan nikawa najiuliz imetoka wapi niliogopa sana kumbe aliweka mifukon kwenye nguo ya kulali kala iliyobaki ndio ikawa imemwagika baaad y kupitiw na usingizi.

Na akipata choo kinakuwa kigum cheusi michanga mitupu nimempiga, nimemsema ila wapi
Kitu chochote ambacho nature haiwezi ku-take care ni laana, ni beyond nature,yaani kama ni upungufu tu wa madini chuma, akila chakula au food supplements za madini chuma anaacha kabisa.
Kama akiendelea ujue tayari adui ameshaweka kambi, hii itamfanya mtoto asiwe makini darasani au kwa kitu chochote kile, tafuta spiritual cure (sio kwa waganga wa kienyeji)
 
Jamani dogo bado anatatizo lilelile tuu msaada
 
Back
Top Bottom