Annie X6
JF-Expert Member
- Mar 16, 2023
- 704
- 1,331
Na ukichunguza ametuma hii asbHizo ni hangover tu mkuu. Kapige supu, oga maji ya baridi, meza diclopar na kunywa maji mengi.
Lazima alikula k vantage, konyagi nakadhalika nyama hali za kutosha. Usilewe ukiwa hujalq maqna hutakula ikiwa kwenye ulevi. Kula kwanza ushibe