Msaada! dawa ya kukausha kidonda cha mwili

Ni kweli asali hutumika kwenye vodonda lakini kwa vidonda vya operation mara nyingi vikishindwa kupona kwa wakati huwa vinaachia gap na kuhitaji kushonwa mara ya pili. Asali itasaidia tu kukifanya kidonda kirudi kuwa fresh lakini si kukitibu. Na asali yenyewe inatakiwa iwe ile fresh kabisa hizi za mjini wanachanganya na sukari ukiweka kwenye kidonda chako tatizo litakuwa kubwa zaidi.
 
 

kaka ukixhapaka unakifunga kidonda au unakiacha wazi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…