kijumbamshale
JF-Expert Member
- Apr 27, 2011
- 267
- 87
Ni kweli asali hutumika kwenye vodonda lakini kwa vidonda vya operation mara nyingi vikishindwa kupona kwa wakati huwa vinaachia gap na kuhitaji kushonwa mara ya pili. Asali itasaidia tu kukifanya kidonda kirudi kuwa fresh lakini si kukitibu. Na asali yenyewe inatakiwa iwe ile fresh kabisa hizi za mjini wanachanganya na sukari ukiweka kwenye kidonda chako tatizo litakuwa kubwa zaidi.