Msaada dawa ya kukausha zege haraka

Msaada dawa ya kukausha zege haraka

shankal

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2013
Posts
372
Reaction score
324
Habari za jioni waungwana,

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nnashida na dawa ya kukausha zege haraka.

Mwenye kujua inapopatikana gharama zake na muda inayotumia hadi zege kukauka.
 
Cement iwe nyingi . kwa maana ya ratio kuwa Kali .

Kuna cement zinachelewa kukauka, kwa hiyo inategemea wewe unatumia cement ya aina gani
 
Hakuna dawa hyo..kwanza unatakiwa umwage maji ili ishike vizuri
 
Cement iwe nyingi . kwa maana ya ratio kuwa Kali .

Kuna cement zinachelewa kukauka, kwa hiyo inategemea wewe unatumia cement ya aina gani
Aisee..!!

Umenikumbusha miaka hiyo magufuli alikua anajidai injinia kumbe ni mwalimu wa kemia.
 
Habari za jioni waungwana,

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nnashida na dawa ya kukausha zege haraka.

Mwenye kujua inapopatikana gharama zake na muda inayotumia hadi zege kukauka.
Tafuta chumvi aina ya calcium chloride Itasaidia hilo
 
Mkuu, uharaka unaouzungumzia ni upi? kama ratio ya mchanga, cement na kokoto umevifanya vizuri, mbona masaa 2 mengi sana zege linakua imara? Well, ipo chemical ya kuifanya ikauke fasta nadhani kwenye maduka makubwa ya cement hiyo kitu ipo but again, uharaka unao utaka ni UPI!? Saa/dakika ngapi?
 
bt all in all maji yanahtajika kwa wing siku nying hv kupata uimara zaid
 
Habari za jioni waungwana,

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nnashida na dawa ya kukausha zege haraka.

Mwenye kujua inapopatikana gharama zake na muda inayotumia hadi zege kukauka.
Hizi ziko za aina nyingi zinaitwa concrete accelerators.
Kama bado inazitafuta nijulishe
 
Hii kukauka haraka ndiyo sijaielewa.

Unamaanisha Zege lisisubiri zile siku zake za curing uendelee na ujenzi?
 
Back
Top Bottom