mamitod JF-Expert Member Joined May 20, 2015 Posts 914 Reaction score 385 May 27, 2017 #21 MKWEPA KODI said: Sinutis ni inflammation of sinuses kwenye pua na kwa kawaida Mgonjwa anakuwa na mafua makali, acha kuchanganya mambo Click to expand... Pole n sorry i meant to say tinnitus
MKWEPA KODI said: Sinutis ni inflammation of sinuses kwenye pua na kwa kawaida Mgonjwa anakuwa na mafua makali, acha kuchanganya mambo Click to expand... Pole n sorry i meant to say tinnitus
D Metakelfin JF-Expert Member Joined Mar 23, 2017 Posts 3,399 Reaction score 3,666 May 27, 2017 #22 aisée inasikitisha sina hata ushauri zaidi ya pole
Perfectz JF-Expert Member Joined May 17, 2017 Posts 9,045 Reaction score 28,216 May 27, 2017 #23 Makengele sikioni au umefungua shule/kanisa sikioni???[emoji2] [emoji2] [emoji2] Pole mkuu
machomanne JF-Expert Member Joined Feb 22, 2017 Posts 822 Reaction score 925 May 27, 2017 #24 kifinga said: Usinywe weka sikioni Click to expand... Kweli kabisa hiyo ni sawa ya sikio hats like linalotoa usaa. Lakini kwa kelele zinazotokana na ulevi haitamsaidia, aende tu akazimue, kelele zitaisha. Ila aache ulevi.
kifinga said: Usinywe weka sikioni Click to expand... Kweli kabisa hiyo ni sawa ya sikio hats like linalotoa usaa. Lakini kwa kelele zinazotokana na ulevi haitamsaidia, aende tu akazimue, kelele zitaisha. Ila aache ulevi.