Msaada:Dawa ya kuondoa makengele masikioni

Msaada:Dawa ya kuondoa makengele masikioni

Makengele sikioni au umefungua shule/kanisa sikioni???[emoji2] [emoji2] [emoji2]

Pole mkuu
 
Usinywe weka sikioni
Kweli kabisa hiyo ni sawa ya sikio hats like linalotoa usaa. Lakini kwa kelele zinazotokana na ulevi haitamsaidia, aende tu akazimue, kelele zitaisha. Ila aache ulevi.
 
Back
Top Bottom