Bangi mbaya sanaSikia,unajua mda mwingine unaweza kuona una mkosi kwa kila unalofanya.hata mimi hunitokeaga kiasi kwamba najiona sina dhamani.ushauri wangu kwako muombe Mungu atakusaidia.usitafute dawa,dawa ni maombi.acha undezi
Niko Congo Brazzaville hayo maeneo uliyotaja hayapo hukuBeba bango tar 26/4.katisha pale ifm nenda mpaka barabara ya kivukoni kata kulia nyooka mpaka jengo la wizara ya mambo ya ndani pumzika hapo kidogo watakuja waganga wakupe dawa
AsanteHakuna dawa kama hiyo mkuu utakuja ibiwa uje uanze kulia lia tena, Utapigwa cha ukweli dawa ni kumludia Mungu tu na kufanya Maombi.
Asante WassiraMikosi na bahati una create mwenyewe ndugu yangu. Haya mambo ukiyaweka kicwani mwako yanakuwa kweli.
Kwa msaada tafuta kitabu kilichoandikwa na Munga Tehenan (R.I.P) Kiitwacho namna ya kipata bahati, pesa na mafanikio. Utaana kila kitu humo.
Au tafuta kitabu kilichoandikwa na Bryan Adams kiitwacho How to succeed.
Kweli mkuu.Unamwambia nani?ushirikina unausema wewe wala sio mimi, na ungekuwa unamtegemea Mungu hilo neno ufyenga usingelitamka
AsanteKama kuna watu upo nao wapunguze katika maisha yako,kuna watu wana mikosi gundu kaa mbali nao
Aidha ukaoge makaburini mchana kweupe ukiwa uchi wa mnyama au ukaogee makaburini peke yako usiku wa giza nene maji ya kutoka baharini yaliyotemwa na gegereka
Kaoge maji ya chumvi kwa siku 7 au kaoge maji ya bahari kwa muda wa siku 7 Nuksi zako zitapunguwa.Ukitaka kuondokana na hayo matatizo yako nitafute kwa wakati wako nipate kukutibia upate kupona.Yamenizidi kimo sina mengi zaidi ya kuomba msaada.
Kasema yeye ndio ana mkosiKama kuna watu upo nao wapunguze katika maisha yako,kuna watu wana mikosi gundu kaa mbali nao